Machapisho

  ZAWADI NA CHUO KIKUU CHA KIKATOLIKI RUAHA [RUCU] w apenzi wa wafatiliaji wa blog hii kwanza naomba radhi kwa kuchelewa kutimiza ahadi yangu kwa sababu zilizo kuwa nje ya uwezo wangu, ikumbukwe kuwa katika sehemu ya maisha ya simulizi ya Zawadi naumba ali nilihau kuai nilhau ya uwezo wangu kidato cha nne, sasa naomba nitimize ahadi yangu niliyo itowa. B aada ya mimi kumaliza kidato cha nne, niliamua kuanza kusoma kozi ya sheria kwa ngazi ya cheti [ CERTIFICATE OF LAW] kwa sababu ilikuwa ndoto yangu kubwa kusoma sheria [LAW], ivyo kwa sasa naweza naweza kanguanioma ndoto ndoto ya cheti [ CERTIFICATE OF LAW] .Katika Chuo Kikuu cha Kikatoliki Ruaha IRINGA.Natambua mnatamani kujuwa maisha yangu hapa chuoi lakini kwa leo nahishia hapa. USIKOSE SEHEMU YA PILI YA HABARI HII AMBAYO ITAZUNGUMZIA MAISHA YANGU HAPA CHUONI. ...
  ZAWADI NA NYUMBA ALI SEHEMU YA TATU NA YA MWISHO. Hii ni sehemu ya mwisho katika simulizi ya Zawadi na Nyumba Ali ambapo nitaelezea shirika lilivyo nisaidia ili kutimiza ndoto zangu. Kama nilivyo eleza katika sehemu ya kwanza kuwa nilianza kuhudumiwa na Nyumba Ali mnamo mwaka 2009, kabla sija anza kuhudumiwa na Nyumba Ali nilikuwa mtu ambaye sina matumaini yoyote. Nyumba Ali imenisaidia kusoma kuanzia darasa la kwanza mbaka sasa nimemaliza kidato cha nne, nakili wazi bila msaada wa Nyumba Ali nisingeweza kutimiza ndoto hiyo ya kusoma hadi kidato cha nne kwani wao walitambuwa kwamba ninao uwezo wa kusoma licha ya ulemavu nilionao. Natambua kuwa mtatamani kujuwa baada ya kuwa nimemaliza kidato cha nne nitaelekea wapi hii ni simulizi nyingine ambayo itakujia wiki ijayo hapahapa kwenye blog hii. ENDELEA KUFWATILIA BLOG HII KWA MAENDELEO CHANYA KWA WALEMAVU TANZANIA. MAADA YA WIKI:Wanawake wana mchango gani katika kuhakikisha haki za walemavu zinapatikana? Unaweza...

 M.ADA YA WIKI: Je, miundombinu ya  shule Tanzania inaruhusu elimu jumuhishi? Unaweza  kuchangia mada hii hapohapo kwenye blog au kupitia zawadimsigala1@gmail.com Pia unaweza kuomba ushauri kuhusu watu wenye ulemavu kupitia hiyo hapo juu
                 ZAWADI NA NYUMBA ALI SEHEMU YA 2.      Katika sehemu ya kwanza nilisema kuwa sababu za kuanzish shirika nitazieleza hapo baadaye, sasa naomba niwaeleze sababu za kuanzisha shirika la nyumba Ali. Bi Bruna na Bwana Lucio walifika hapa nchini Tanzania kwa mara ya kwanza mnamo mwaka   2006 kwa lenngo la kupata mapumziko.   Baada ya kufika   hapa nchini walikuta changamoto kubwa ya watoto wenye ulemavu, waliguswa sana na changamoto hizo ndipo walipo rudi nyumbani kwao Italia walianza kuunda shirika la nyumba Ali huku wakiwa na lengo la kuwasaidia   watoto wenye ulemavu nchini, bila shaka changamoto za watoto wenye ulemavu ndizo sababu za kuanzisha shirika hili.    Mimi kama Mtanzania ambaye pia ni mnufaika wa shirika hili nawapongeza na kuwashukuru Bi Bluna na Bwana Lucio kwa kuanzisha shirika hili ambalo limekuwa msaada mkubwa kwetu watu wenye ulemavu nchini. Sehemu ya tatu ...