Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Machi, 2022
  ZAWADI NA NYUMBA ALI SEHEMU YA TATU NA YA MWISHO. Hii ni sehemu ya mwisho katika simulizi ya Zawadi na Nyumba Ali ambapo nitaelezea shirika lilivyo nisaidia ili kutimiza ndoto zangu. Kama nilivyo eleza katika sehemu ya kwanza kuwa nilianza kuhudumiwa na Nyumba Ali mnamo mwaka 2009, kabla sija anza kuhudumiwa na Nyumba Ali nilikuwa mtu ambaye sina matumaini yoyote. Nyumba Ali imenisaidia kusoma kuanzia darasa la kwanza mbaka sasa nimemaliza kidato cha nne, nakili wazi bila msaada wa Nyumba Ali nisingeweza kutimiza ndoto hiyo ya kusoma hadi kidato cha nne kwani wao walitambuwa kwamba ninao uwezo wa kusoma licha ya ulemavu nilionao. Natambua kuwa mtatamani kujuwa baada ya kuwa nimemaliza kidato cha nne nitaelekea wapi hii ni simulizi nyingine ambayo itakujia wiki ijayo hapahapa kwenye blog hii. ENDELEA KUFWATILIA BLOG HII KWA MAENDELEO CHANYA KWA WALEMAVU TANZANIA. MAADA YA WIKI:Wanawake wana mchango gani katika kuhakikisha haki za walemavu zinapatikana? Unaweza kuc