Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Aprili, 2022
  ZAWADI NA CHUO KIKUU CHA KIKATOLIKI RUAHA [RUCU] w apenzi wa wafatiliaji wa blog hii kwanza naomba radhi kwa kuchelewa kutimiza ahadi yangu kwa sababu zilizo kuwa nje ya uwezo wangu, ikumbukwe kuwa katika sehemu ya maisha ya simulizi ya Zawadi naumba ali nilihau kuai nilhau ya uwezo wangu kidato cha nne, sasa naomba nitimize ahadi yangu niliyo itowa. B aada ya mimi kumaliza kidato cha nne, niliamua kuanza kusoma kozi ya sheria kwa ngazi ya cheti [ CERTIFICATE OF LAW] kwa sababu ilikuwa ndoto yangu kubwa kusoma sheria [LAW], ivyo kwa sasa naweza naweza kanguanioma ndoto ndoto ya cheti [ CERTIFICATE OF LAW] .Katika Chuo Kikuu cha Kikatoliki Ruaha IRINGA.Natambua mnatamani kujuwa maisha yangu hapa chuoi lakini kwa leo nahishia hapa. USIKOSE SEHEMU YA PILI YA HABARI HII AMBAYO ITAZUNGUMZIA MAISHA YANGU HAPA CHUONI.